Hali ilivyooneka usiku wakati mabomu yanalipuka
Raisi akiangalia kwa makini baadhi ya Vipande vya mabomu ya kuruka
Baada ya milipuko kukoma na moto kuzima
Ajali kama hii mtu ambaye hayajamkuta ataona kama jambo la kawaida, lakini ndugu yangu yakupasa kuangalia kwa Uzito wa aina yake na kutafakari kama ingekuwa wewe ungefanyaje au ungekuwa katika hali gani. Tujaribu kuwaonea huruma wale wote waliokumbwa na mkasa wa Milipuko ya mabomu. Mungu awalaze mahala pema peponi wale wote waliofariki katika tukio hili, Amen.
Nyumba iliharibiwa vibaya na milipuko
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na waandishi wa Habari mara baada ya kutembelea kambi zilizokumbwa na Milipuko hiyo huko Gongo la Mboto
Hali ya Usafiri siku hiyo ilikuwa ni mshikemshike.